Listen to the poem Nitasimama Mpaka Unipende Nitasimama, kima cha urefu wa mbingu, na nyota zake hewani, mpaka nisimame wima. Nitasimama, kutoka kwenye uoga, wa niliyemchagua, lakini akaninyamazisha uhuru wangu.…
Read More
© 2024 Gloria D. Gonsalves