On Saturday, 7 October 2023, World Children’s Poetry Day (WoChiPoDa) marked the ninth year since its founding. Three events were held in Pwani, Dar es Salaam, and Kilimanjaro regions in Tanzania. I would like to share the events in photos with you here. For more information, visit www.wochipoda.com.
∞ ∞ ∞ ∞ ∞
Jumamosi, tarehe 7 Oktoba 2023, Siku ya Ushairi wa Watoto Duniani iliadhimisha mwaka wa tisa tangu kuanzishwa kwake. Matukio matatu yalifanyika mikoa ya Pwani, Dar es Salaam, na Kilimanjaro nchini Tanzania. Ningependa kuweka matukio katika picha hapa. Kwa habari zaidi kuhusu siku hii, tembelea tovuti yetu www.wochipoda.com.
∞ ∞ ∞ ∞ ∞
Am Samstag, dem 7. Oktober 2023, jährte sich der Welttag der Kinderpoesie (World Children’s Poetry Day, WoChiPoDa) zum neunten Mal seit seiner Gründung. Drei Veranstaltungen fanden in den Regionen Pwani, Dar es Salaam und Kilimanjaro in Tansania statt. Ich möchte die Veranstaltungen hier in Fotos mit Ihnen teilen. Weitere Informationen finden Sie unter www.wochipoda.com.