Mishumaa miwili iliwaka kwa mwangaza mkubwa.Nuru yao ilisafiri kila kona ya nchi hadi magharibi.Mwangaza huo haukuruhusu kamwe kivuli cha kuingiliwa.Wenye nafasi na wasio nafasi kila mmoja aling’ara. Safari ya maendeleo ilikuwa kasi kama moshi wa volkano.Lakini jioni moja upepo wa ghafla ulizima mshumaa mmoja.Huzuni, vilio, na simanzi vilitawala ndani na nje ya mipaka.Sasa itakuwaje kwani…